diff --git a/05/04.txt b/05/04.txt index 03e8c11..c0ecd3d 100644 --- a/05/04.txt +++ b/05/04.txt @@ -1 +1 @@ -\v 4 Wazee wote wa Israeli wakaja, na Walawi wakalichukua sanduku. \v 5 Wakalileta sanduku, hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote ambavyo vilikuwa ndani ya hema. Makuhani waliokuwa wa kabila la Lawi wakavileta vitu hivyo. \v 6 Mfalme Sulemani na kusanyiko lote la Israeli wakaja pamoja, mbele ya sanduku, wakitoa sadaka za kondoo na maksai ambao hawakuweza kuhesabika. \ No newline at end of file +\v 4 Wazee wote wa Israeli wakaja, na Walawi wakalichukua sanduku. \v 5 Wakalileta sanduku, hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote ambavyo vilikuwa ndani ya hema. Makuhani waliokuwa wa kabila la Lawi wakavileta vitu hivyo. \v 6 Mfalme Sulemani na kusanyiko lote la Israeli wakaja pamoja, mbele ya sanduku, wakitoa sadaka za kondoo na ng'ombe ambao hawakuweza kuhesabika. \ No newline at end of file