Sat Feb 11 2023 15:26:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 15:26:18 +03:00
parent 2dbca8c7fc
commit dd12e38180
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Simba kumi na wawili walisimama juu ya zile ngazi, mmoja kila upande wa ngazi sita. \v 20 Hapakuwa na kiti cha enzi kama hicho katika ufalme wowote mwingine. Vikombe vyote vya kunywea vya Selemani vilikuwa vya dhahabu, na vikombe vyote vya mfalme katika Nyumba ya Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu halisi. Hakuna hata kimoja kilichokuwa cha fedha kwa sababu fedha haikuchuliwa kuwa ya thamani katika siku za Selemani. \v 21 Mfalme alikuwa na meli zilizosafiri baharini, pamoja na meli za Hiramu. Mara moja kwa mwaka meli zilileta dhahabu, fedha, na pembe, na manukato, na pia nyani na tausi.
\v 19 Simba kumi na wawili walisimama juu ya zile ngazi, mmoja kila upande wa ngazi sita. \v 20 Hapakuwa na kiti cha enzi kama hicho katika ufalme wowote mwingine. Vikombe vyote vya kunywea vya Sulemani vilikuwa vya dhahabu, na vikombe vyote vya mfalme katika Nyumba ya Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu halisi. Hakuna hata kimoja kilichokuwa cha fedha kwa sababu fedha haikuchuliwa kuwa ya thamani katika siku za Sulemani. \v 21 Mfalme alikuwa na meli zilizosafiri baharini, pamoja na meli za Hiramu. Mara moja kwa mwaka meli zilileta dhahabu, fedha, na pembe, na manukato, na pia nyani na tausi.