Sat Feb 11 2023 15:12:18 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
a7410dcee3
commit
d1040b78f5
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\c 9 \v 1 Malkia wa Sheba aliposikia kuhusu umaarufu wa Sulemani, akaja Yerusalemu kumjaribu kwa maswali magumu. Akaja pamoja na msafara mkubwa sana, pamoja na ngamia waliosheheni manukato, dhahabu nyingi, na vito vingi vya thamani. Alipofika kwa \v 2 Selemani, akamwambia yaliyokuwa moyoni mwake. Selemani akamjibu maswaali yake yote; hakuna kitu kilichokuwa kigumu sana kwa Selemani; hakuna swali ambalo hakulijibu.
|
\c 9 \v 1 Malkia wa Sheba aliposikia kuhusu umaarufu wa Sulemani, akaja Yerusalemu kumjaribu kwa maswali magumu. Akaja pamoja na msafara mkubwa sana, pamoja na ngamia waliosheheni manukato, dhahabu nyingi, na vito vingi vya thamani. Alipofika kwa \v 2 Sulemani, akamwambia yaliyokuwa moyoni mwake. Sulemani akamjibu maswali yake yote; hakuna kitu kilichokuwa kigumu sana kwa Sulemani; hakuna swali ambalo hakulijibu.
|
|
@ -1 +1 @@
|
||||||
\v 3 Malikia wa Sheba alipoiona hekima ya Selemani na ikulu aliyokuwa amejenga, \v 4 chakula mezani kwake, mahali pa kukaa watumishi wake, kazi ya watumisshi wake na mavazi yao, pia wabebakikombe na mavazi yao, na namna alivyotoa sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya Yahwe, hapakuwa na roho zaidi ndani yake.
|
\v 3 Malkia wa Sheba alipoiona hekima ya Sulemani na ikulu aliyokuwa amejenga, \v 4 chakula mezani kwake, mahali pa kukaa watumishi wake, kazi ya watumishi wake na mavazi yao, pia wabebakikombe na mavazi yao, na namna alivyotoa sadaka za kuteketezwa katika nyumba ya Yahwe, hapakuwa na roho zaidi ndani yake.
|
|
@ -118,6 +118,7 @@
|
||||||
"08-16",
|
"08-16",
|
||||||
"08-17",
|
"08-17",
|
||||||
"09-title",
|
"09-title",
|
||||||
|
"09-01",
|
||||||
"33-title",
|
"33-title",
|
||||||
"33-01",
|
"33-01",
|
||||||
"33-04",
|
"33-04",
|
||||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue