Fri Jan 13 2023 06:50:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-13 06:50:48 +03:00
parent 9c1c5dfda3
commit cfd572e738
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Wakaikabidhi ile fedha kwa watu waliosimamia kazi ya hekalu la Yahwe. Watu wale wakawalipa wafanya kazi walioikarabati na kulijenga tena hekalu. \v 11 Wakawalipa maseremala na wajenzi kwa ajili ya kununua mawe ya kuchonga na mbao kwa ajili ya kuungia, na kutengeneza boriti za nyumba ambazo baadhi ya wafalme wa Yuda waliziacha zikachakaa.
\v 10 Wakaikabidhi zile fedha kwa watu waliosimamia kazi ya hekalu ya Yahwe. Watu wale wakawalipa watendakazi walioikarabati na kulijenga tena hekalu. \v 11 Wakawalipa maseremala na wajenzi kwa ajili ya kununua mawe ya kuchonga na mbao kwa ajili ya kuungia, na kutengeneza boriti za nyumba ambazo baadhi ya wafalme wa Yuda waliziacha zikachakaa.