Thu Feb 23 2023 16:33:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-23 16:33:55 +03:00
parent 6cf9a12369
commit c2a53f3267
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Lakini Rehoboamu akapuuza ushauri wa wazee ambao walimpa, na akashauriana na wanauame vijana ambao walikuwa wa rika lake, ambao walisimama mbele yake. \v 9 Akawaamabia, "Mnanipa ushauri gani, ili kwamba niwajibu watu waliozungumza kwangu na kusema, "Ifanye nyepesi nira yako ambayo baba yako aliiweka juu yetu'?"
\v 8 Lakini Rehoboamu akapuuza ushauri wa wazee ambao walimpa, na akashauriana na wanauame vijana ambao walikuwa wa rika lake, ambao walisimama mbele yake. \v 9 Akawaambia, "Mnanipa ushauri gani, ili kwamba niwajibu watu waliozungumza kwangu na kusema, "Ifanye nyepesi nira yako ambayo baba yako aliiweka juu yetu'?"

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Wanaume vijana mabaoa walikuwa rika la Yeroboamu wakasema kwake, wakisema, "Hivi ndivyo utakavyosema kwa watu waliokuambia kwamba baba yako Selemani aliifanya nira yao nzito, lakini kwamba lazima uifanye nyepesi. Hivi ndivyo utakavyosema kwao, 'Kidole changu kidogo ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu. \v 11 Kwa hiyo sasa, ingawa babab yangu aliwatwika nira nzito, nitaiongeza nira yenu. Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeredi, lakini nitawaadhibu kwa nge."
\v 10 Wanaume vijana ambao walikuwa rika la Yeroboamu wakasema kwake, wakisema, "Hivi ndivyo utakavyosema kwa watu waliokuambia kwamba baba yako Sulemani aliifanya nira yao nzito, lakini kwamba lazima uifanye nyepesi. Hivi ndivyo utakavyosema kwao, 'Kidole changu kidogo ni kinene kuliko kiuno cha baba yangu. \v 11 Kwa hiyo sasa, ingawa babab yangu aliwatwika nira nzito, nitaiongeza nira yenu. Baba yangu aliwaadhibu kwa mijeredi, lakini nitawaadhibu kwa nge."

View File

@ -136,6 +136,7 @@
"10-01",
"10-03",
"10-06",
"10-08",
"33-title",
"33-01",
"33-04",