From aad10073412cbf5c531a6be177a0d2b0d7b91a3d Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Sat, 11 Feb 2023 14:16:18 +0300 Subject: [PATCH] Sat Feb 11 2023 14:16:17 GMT+0300 (East Africa Time) --- 07/01.txt | 2 +- manifest.json | 1 + 2 files changed, 2 insertions(+), 1 deletion(-) diff --git a/07/01.txt b/07/01.txt index f92eb6c..1caa9d4 100644 --- a/07/01.txt +++ b/07/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 7 \v 1 Sasa Sulemani alipokuwa amemaliza kuomba, moto ukaja kutoka mbinguni na kuiteketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu, na utukufu wa Yahwe ukaijaza nyumba. \v 2 Makuhani hawakuweza kuingia kwenye nyumba ya Yahwe, kwa sababu utukufu wake uliijaza nyumba yake. \v 3 Watu wote wa Israeli wakaangalia juu moto uliposhuka chini na utukufu wa Yahwe ulikuwa juu ya nyumba. Wakalala kwa nyuso zao juu ya sakafu ya mawe, wakaabudu, na kutoa shukrani kwa Yahwe. Wakasema, "Kwa maana yeye ni mwema, kwa maana agano lake la kifame ladumu milele." \ No newline at end of file +\c 7 \v 1 Sasa Sulemani alipokuwa amemaliza kuomba, moto ukaja kutoka mbinguni na kuiteketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu, na utukufu wa Yahwe ukaijaza nyumba. \v 2 Makuhani hawakuweza kuingia kwenye nyumba ya Yahwe, kwa sababu utukufu wake uliijaza nyumba yake. \v 3 Watu wote wa Israeli wakaangalia juu moto uliposhuka chini na utukufu wa Yahwe ulikuwa juu ya nyumba. Wakalala kwa nyuso zao juu ya sakafu ya mawe, wakaabudu, na kutoa shukrani kwa Yahwe. Wakasema, "Kwa maana yeye ni mwema, kwa maana agano lake la kifalme ladumu milele." \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index c20a2dd..f7798ae 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -97,6 +97,7 @@ "06-36", "06-40", "07-title", + "07-01", "33-title", "33-01", "33-04",