Sat Feb 11 2023 14:40:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 14:40:18 +03:00
parent 2487e36c50
commit 9a273da0b3
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Kwa hiyo Selemani akaitisha sikukuu wakati huo kwa siku saba, na Israeli wote pamaoja naye, kusanyiko kubwa, kutoka Lebo Hamathi mpaka kijito cha Misiri. \v 9 Siku ya nane wakaitisha kusanyiko la makini, kwa maana kwa siku saba walishika kuwekwa wakfu kwa ile madhabahu. \v 10 Katika siku ya ishini na tatu ya mwezi wa saba, Selemani akawatanya watu kwenda kwenye nyumba zao kwa furaha na mioyo ya shangwe kwa sababu ya wema aliokuwa ameuonesha Yahwe kwa Daudi, Selemani, Israeli, na watu wake.
\v 8 Kwa hiyo Sulemani akaitisha sikukuu wakati huo kwa siku saba, na Israeli wote pamoja naye, kusanyiko kubwa, kutoka Lebo Hamathi mpaka kijito cha Misiri. \v 9 Siku ya nane wakaitisha kusanyiko la makini, kwa maana kwa siku saba walishika kuwekwa wakfu kwa ile madhabahu. \v 10 Katika siku ya ishini na tatu ya mwezi wa saba, Sulemani akawatanya watu kwenda kwenye nyumba zao kwa furaha na mioyo ya shangwe kwa sababu ya wema aliokuwa ameuonesha Yahwe kwa Daudi, Sulemani, Israeli, na watu wake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Hivyo Selemani akaimaliza nyumba ya Yahwe na nyumba yake mwenyewe. Kila kitu kilichokuja katika moyo wa Selemani kwa ajili ya kukitengeneza katika nyumba ya mfalme na katika nyumba yake mwenyewe, alikitimiza kwa mafanikio. \v 12 Yahwe akamtokea Selemani usiku na kusema kwake, "Nimesikia maombi yako, na nimeichagua sehemu hii kwa ajili yangu mwenyewe kama nyumba ya dhabihu.
\v 11 Hivyo Sulemani akaimaliza nyumba ya Yahwe na nyumba yake mwenyewe. Kila kitu kilichokuja katika moyo wa Sulemani kwa ajili ya kukitengeneza katika nyumba ya mfalme na katika nyumba yake mwenyewe, alikitimiza kwa mafanikio. \v 12 Yahwe akamtokea Selemani usiku na kusema kwake, "Nimesikia maombi yako, na nimeichagua sehemu hii kwa ajili yangu mwenyewe kama nyumba ya dhabihu.

View File

@ -100,6 +100,7 @@
"07-01",
"07-04",
"07-07",
"07-08",
"33-title",
"33-01",
"33-04",