Thu Feb 23 2023 17:05:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-23 17:05:55 +03:00
parent e8c94a1665
commit 8ae51064fe
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Yaahwe alipoona kuwa wamejinyenyekeza, neno la Yahwe likamjia Shemaya, likisema, "Wamejinyenyekeza. Stawaadhibu; nitawaokoa kwa hataua fulani, na hasira yangu haitamiminwa juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki. \v 8 Vile vile, watakuwa watumishi wake, ili kwamba wajue nini maana ya kunitumikia mimi na kuwatumikia watawala wa nchi zingine."
\v 7 Yahwe alipoona kuwa wamejinyenyekeza, neno la Yahwe likamjia Shemaya, likisema, "Wamejinyenyekesha. Stawaadhibu; nitawaokoa kwa hatua fulani, na hasira yangu haitamiminwa juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki. \v 8 Vile vile, watakuwa watumishi wake, ili kwamba wajue nini maana ya kunitumikia mimi na kuwatumikia watawala wa nchi zingine."

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Kwa hiyo Shishaki, mfalme wa Misiri akaja Yerusalemu akazichukua hazina katika nyumba ya Yahwe, na hazina katika nyumba ya mfalme. akachukua kila kitu; pia akazichukua ngao za dhahabu alizokuwa amezitengeneza Selemani. Mfalme \v 10 Rehoboamu akatengeneza ngao za shaba katika nafasi zake na kuzikabidhi mikoni mwa maamrijeshi wa walinzi, amabao waliilinda milango ya kuelekea kwenye nyumba ya mfalme.
\v 9 Kwa hiyo Shishaki, mfalme wa Misiri akaja Yerusalemu akazichukua hazina katika nyumba ya Yahwe, na hazina katika nyumba ya mfalme. akachukua kila kitu; pia akazichukua ngao za dhahabu alizokuwa amezitengeneza Sulemani. Mfalme \v 10 Rehoboamu akatengeneza ngao za shaba katika nafasi zake na kuzikabidhi mikoni mwa maamrijeshi wa walinzi, amabao waliilinda milango ya kuelekea kwenye nyumba ya mfalme.

View File

@ -156,6 +156,7 @@
"12-01",
"12-02",
"12-05",
"12-07",
"33-title",
"33-01",
"33-04",