Wed Dec 21 2022 14:52:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-21 14:52:51 +03:00
parent b6d742f834
commit 8ac6e0ea94
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Mfalme wa Misiri akamwondoa katika Yerusalemu, na akamlazimisha kutoa faini nchi faini ya talanta za fedha mia moja na talanta moja ya dhahabu. \v 4 Mfalme wa Misiri akamfanya Eliakimu, ndugu yake, mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu, na akambadili jina lake kuwa Yehoakimu. Kisha akamchukua ndugu yake Eliakimu - Yeahazi na kumpeleka Misiri.
\v 3 Mfalme wa Misiri akamwondoa katika Yerusalemu, na akamlazimisha kutoa faini kwa nchi ya talanta za fedha mia moja na talanta moja ya dhahabu. \v 4 Mfalme wa Misiri akamfanya Eliakimu, ndugu yake, mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu, na akambadilisha jina lake kuwa Yehoakimu. Kisha akamchukua ndugu yake Eliakimu - Yeahazi na kumpeleka Misiri.