Sat Feb 11 2023 14:46:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 14:46:18 +03:00
parent 1df216cc6e
commit 8062a05b54
3 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Lakin ukigeuka, na kuzisahau sheria zangu na amri ambazo nimeweka mbele yenu, na kama utaenda kuabudu miungu wengine na kuwasujudia, \v 20 basi nitawang'oa kutoka kwenye nchi yangu ambayo nimewapa. Nyumba hii ambayo nimeitakasa kwa ajili ya jina langu, nitaitupilia mbali kutoka mbele zangu, na nitaifanya kuwa methali na utani miongini mwa watu wote. Ingawa hekalu hili hili zuri sana kwa sasa, kila mtu apitaye karibu yake atashangazwa na ataguna. Watauliza, 'Kwa nini Yahwe ameifanyia hivi nchi hii na nyumba hii', wengine watajibu, 'Kwa sababu walimsahau Yahwe, Mungu wao, ambaye alikuwa amewatoa babu zao nje ya nchi ya Misiri, na wakashikamana na miungu wengine na kuwainamia chini na kuwaabudu. Hii ndiyo maana Yahwe ameleta majanga haya yote juu yao"
\v 19 Lakin ukigeuka, na kuzisahau sheria zangu na amri ambazo nimeweka mbele yenu, na kama utaenda kuabudu miungu wengine na kuwasujudia, \v 20 basi nitawang'oa kutoka kwenye nchi yangu ambayo nimewapa. Nyumba hii ambayo nimeitakasa kwa ajili ya jina langu, nitaitupilia mbali kutoka mbele zangu, na nitaifanya kuwa methali na utani miongini mwa watu wote.

1
07/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 \v 22 Ingawa hekalu hili zuri sana kwa sasa, kila mtu apitaye karibu yake atashangazwa na ataguna. Watauliza, 'Kwa nini Yahwe ameifanyia hivi nchi hii na nyumba hii', wengine watajibu, 'Kwa sababu walimsahau Yahwe, Mungu wao, ambaye alikuwa amewatoa babu zao nje ya nchi ya Misiri, na wakashikamana na miungu wengine na kuwainamia chini na kuwaabudu. Hii ndiyo maana Yahwe ameleta majanga haya yote juu yao"

View File

@ -104,6 +104,7 @@
"07-11",
"07-13",
"07-16",
"07-19",
"33-title",
"33-01",
"33-04",