Fri Jan 13 2023 07:26:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-13 07:26:47 +03:00
parent c806ca920d
commit 7e75984d90
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 26 Lakini kwa mfalme wa Yuda, aliyewatuma kumuuliza Yahwe alichopaswa kufanya, hivi ndivyo mtakavyosema kwake, 'Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi: Kuhusu maneno uliyosikia, \v 27 kwa sababu moyo wako ulimbondeka, na ulijinyenyekeza mbele za Mungu ulipoyasikia maneno yake dhidi ya sehemu hii na wakaaji wake, na kwa sababu umejinyenyekeza mwenyewe mbele zangu, pia nimekusikiliza —hili ni azimio la Yahwe— \v 28 ona, nitakukusanya kwa mababu zako. Utakusanywa katika kaburi lako kwa amani, na macho yako hayataona maafa yoyoye nitakayoleta juu ya sehemu hii na wakaaji wake". Wale watu wakarudisha ujumbe huu kwa mfalme.
\v 26 Lakini kwa mfalme wa Yuda, aliyewatuma kumuuliza Yahwe alichopaswa kufanya, hivi ndivyo mtakavyosema kwake, 'Yahwe, Mungu wa Israeli anasema hivi: Kuhusu maneno uliyosikia, \v 27 kwa sababu moyo wako ulimbondeka, na ulijinyenyekeza mbele za Mungu ulipoyasikia maneno yake dhidi ya sehemu hii na wakaaji wake, na kwa sababu umejinyenyekeza mwenyewe mbele zangu, na umeyararua mavazi yako na kulia mbele zangu, nami pia nimekusikiliza —hili ni azimio la Yahwe— \v 28 ona, nitakukusanya kwa mababu zako. Utakusanywa katika kaburi lako kwa amani, na macho yako hayataona maafa yoyote nitakayoleta juu ya sehemu hii na wakaaji wake". Wale watu wakarudisha ujumbe huu kwa mfalme.