diff --git a/07/21.txt b/07/21.txt index f2fd3ab..816268e 100644 --- a/07/21.txt +++ b/07/21.txt @@ -1 +1 @@ -\v 21 \v 22 Ingawa hekalu hili zuri sana kwa sasa, kila mtu apitaye karibu yake atashangazwa na ataguna. Watauliza, 'Kwa nini Yahwe ameifanyia hivi nchi hii na nyumba hii', wengine watajibu, 'Kwa sababu walimsahau Yahwe, Mungu wao, ambaye alikuwa amewatoa babu zao nje ya nchi ya Misiri, na wakashikamana na miungu wengine na kuwainamia chini na kuwaabudu. Hii ndiyo maana Yahwe ameleta majanga haya yote juu yao" \ No newline at end of file +\v 22 \v 21 Ingawa hekalu hili zuri sana kwa sasa, kila mtu apitaye karibu yake atashangazwa na ataguna. Watauliza, 'Kwa nini Yahwe ameifanyia hivi nchi hii na nyumba hii', 22 Wengine watajibu, 'Kwa sababu walimsahau Yahwe, Mungu wao, ambaye alikuwa amewatoa babu zao nje ya nchi ya Misiri, na wakashikamana na miungu wengine na kuwainamia chini na kuwaabudu. Hii ndiyo maana Yahwe ameleta majanga haya yote juu yao" \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b7e70a3..97f584b 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -105,6 +105,7 @@ "07-13", "07-16", "07-19", + "07-21", "33-title", "33-01", "33-04",