diff --git a/09/29.txt b/09/29.txt index 286adf8..8ba46f0 100644 --- a/09/29.txt +++ b/09/29.txt @@ -1 +1 @@ -\v 29 \v 30 \v 31 Kwa mambo mengine kuhusu Sulemani, mwanzo na mwisho, hayajandikwa katika Historia ya Nathani Nabii, katika unabii wa Abiya Mshinoni, na katika Maono ya Ido mwonaji wa mambo ya Yeroboamu mwana wa Nabati? Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini. Akalala na babu zake na watu wakamzika katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanaye, akawa mfalme katika sehemu yake. \ No newline at end of file +\v 29 \v 30 \v 31 Kwa mambo mengine kuhusu Sulemani, mwanzo na mwisho, hayajandikwa katika Historia ya Nathani Nabii, katika unabii wa Abiya Mshinoni, na katika Maono ya Ido mwonaji wa mambo ya Yeroboamu mwana wa Nabati? 30 Sulemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini.31 Akalala na babu zake na watu wakamzika katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanaye, akawa mfalme katika sehemu yake. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index a4642a7..57764f6 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -131,6 +131,7 @@ "09-22", "09-25", "09-27", + "09-29", "33-title", "33-01", "33-04",