Sat Feb 11 2023 13:10:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 13:10:17 +03:00
parent b4d2d7e3aa
commit 3ca70e179b
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 2 Kisha Selemanai akawakusanya wazee wa Israeli, wakuu wa makabila yote, na viongozi wa familia za watu wa Israeli, katika Yerusalemu, ili walilete sanduku la agano la Yahwe kutoka mji wa Daudi, ambao ni Sayuni. \v 3 Wanaume wote wa Israeli wakakusanyika mbele za mfalme katika sikukuu, ambayo ilikuwa katika mwezi wa saba.
\v 2 Kisha Sulemani akawakusanya wazee wa Israeli, wakuu wa makabila yote, na viongozi wa familia za watu wa Israeli, katika Yerusalemu, ili walilete sanduku la agano la Yahwe kutoka mji wa Daudi, ambao ni Sayuni. \v 3 Wanaume wote wa Israeli wakakusanyika mbele za mfalme katika sikukuu, ambayo ilikuwa katika mwezi wa saba.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Wazee wote wa Israeli wakaja, na Walawi wakalichukua sanduku. \v 5 Wakalileta sanduku, hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote ambavyo vilikuwa ndani ya hema. Makuhani waliokuwa wa kabila la Lawi wakavileta vtu hivyo. \v 6 Mfalme Selemanai na kusanyiko lote la Israeli wakaja pamoja, mbele ya sanduku, wakitoa sadaka za kondoo na maksai ambao hawakuweza kuhesabika.
\v 4 Wazee wote wa Israeli wakaja, na Walawi wakalichukua sanduku. \v 5 Wakalileta sanduku, hema ya kukutania, na vyombo vitakatifu vyote ambavyo vilikuwa ndani ya hema. Makuhani waliokuwa wa kabila la Lawi wakavileta vitu hivyo. \v 6 Mfalme Sulemani na kusanyiko lote la Israeli wakaja pamoja, mbele ya sanduku, wakitoa sadaka za kondoo na maksai ambao hawakuweza kuhesabika.

View File

@ -72,6 +72,7 @@
"04-22",
"05-title",
"05-01",
"05-02",
"33-title",
"33-01",
"33-04",