Sat Feb 11 2023 13:20:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 13:20:17 +03:00
parent 3b4cdaf66d
commit 1851df8ef3
3 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Ilikuwa makuhani walipotoka nje ya sehemu takatifu. Makuhani wote waliokuwepo wakajiweka wakfu wenyewe kwa Yahwe, bila kujiamuru wenyewe kulingana na sehemu zao. \v 12 Pia makuhani waliokuwa waimbaji, wote kwa ujumla wao, pamoja na Asafu, Hemani, Yeduthuni, na wana wao na ndugu zao, wakiwa wamevalia kitani safi na wakipiga matoazi, vinanda, na vinubi, wakasimama upande wa mashariki wa mwisho wa madhabahu. Pamoja nao palikuwa na makuhani 120 wakipuliza tarumbeta. Ikawa kwamba wapuruza tarumbeta na waimbaji wakafanya mziki pamoja, wakifanya sauti moja isikike kwa ajili ya kumsifu na kumshukuru Yahwe. Walipaza sauti zao kwa tarumbeta, toazi na vyombo vingine, na wakamsifu Yahwe. Wakaimba, "Kwa maana Yeye ni mwema, kwa kuwa uaminifu wa agano lake wadumu milele." Kisha nyumba, ile nyumba ya Yahwe, ikajawa na wingu. Makuhani hawakuweza kusimama ili wahudumu kwa sababu ya lile wingu, kwa maana utukufu wa Yahwe uliijaza nyumba yake.
\v 11 Ilikuwa makuhani walipotoka nje ya sehemu takatifu. Makuhani wote waliokuwepo wakajiweka wakfu wenyewe kwa Yahwe, bila kujiamuru wenyewe kulingana na sehemu zao. \v 12 Pia makuhani waliokuwa waimbaji, wote kwa ujumla wao, pamoja na Asafu, Hemani, Yeduthuni, na wana wao na ndugu zao, wakiwa wamevalia kitani safi na wakipiga matoazi, vinanda, na vinubi, wakasimama upande wa mashariki wa mwisho wa madhabahu. Pamoja nao palikuwa na makuhani 120 wakipuliza tarumbeta.

1
05/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 \v 14 Ikawa kwamba wapuruza tarumbeta na waimbaji wakafanya mziki pamoja, wakifanya sauti moja isikike kwa ajili ya kumsifu na kumshukuru Yahwe. Walipaza sauti zao kwa tarumbeta, toazi na vyombo vingine, na wakamsifu Yahwe. Wakaimba, "Kwa maana Yeye ni mwema, kwa kuwa uaminifu wa agano lake wadumu milele." Kisha nyumba, ile nyumba ya Yahwe, ikajawa na wingu. Makuhani hawakuweza kusimama ili wahudumu kwa sababu ya lile wingu, kwa maana utukufu wa Yahwe uliijaza nyumba yake.

View File

@ -76,6 +76,7 @@
"05-04",
"05-07",
"05-09",
"05-11",
"33-title",
"33-01",
"33-04",