Wed Dec 21 2022 16:01:52 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-21 16:01:53 +03:00
parent 16929c4a74
commit 0083618bec
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Yosia akawapa watu wote wanakondoo elfu thelathini na wanambuzi kutoka katika makundi kwa ajili ya sadaka za Pasaka kwa wote waliokuwepo, na pia akatoa ng'ombe dume elfu tatu; hawa walikuwa kutoka katika mali ya mfalme. \v 8 Viongozi wake wakatoa sadaka za hiari kwa watu, makuhani, na Walawi. Hilki, Zekaria, na Yeieli, viongozi wasimamizi wa nyumba ya Mungu, wakawapa makuhani ndama 2, 600 na maksai mia tatu kwa ajili ya matoleo ya Paska. \v 9 Pia Konania, Shemaya na Nethaneli, ndugu zake, na Hashabia, Yeieli, na Yazabadi, mkuu wa Walawi, akawapa Walawi ndama elfu tano kwa ajili ya matoleo ya Pasaka.
\v 7 Yosia akawapa watu wote wanakondoo elfu thelathini na wanambuzi kutoka katika makundi kwa ajili ya sadaka za Pasaka kwa wote waliokuwepo, na pia akatoa ng'ombe dume elfu tatu; hawa walikuwa kutoka katika mali ya mfalme. \v 8 Viongozi wake wakatoa sadaka za hiari kwa watu, makuhani, na Walawi. Hilki, Zekaria, na Yeieli, viongozi wasimamizi wa nyumba ya Mungu, wakawapa makuhani ndama 2, 600 na ng'ombe mia tatu kwa ajili ya matoleo ya Pasaka. \v 9 Pia Konania, Shemaya na Nethaneli, ndugu zake, na Hashabia, Yeieli, na Yazabadi, mkuu wa Walawi, akawapa Walawi wana-kondoo elfu tano kwa ajili ya matoleo ya Pasaka.