sw_2ch_text_reg/06/10.txt

1 line
320 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 10 Yahwe ameyatimiza maneno aliyokuwa amesema, kwa maana nimeiinua sehemu ya Daudi baba yangu, na nitakaa juu ya kiti cha enzi cha Israeli, kama alivyoahidi Yahwe. Nimeijenga nyumba kwa ajii ya jina la Yahwe, Mungu wa Israeli. \v 11 Nimeliweka humo sanduku, ambamo kuna agano la Yahwe, alilofanya na watu wa Israeli."