sw_2ch_text_reg/03/13.txt

1 line
252 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 13 Mabawa ya makerubi hawa yalienea jumla ya mikono ishirini. Makerubi yalisimama kwa miguu yake, na nyuso zao zikiuelekea ukumbi mkuu. \v 14 Akatengeneza pazia la samawati, dhambarau, na sufu nyekundu, na kitani safi, na akachora makerubi juu yake.