sw_1ti_text_ulb/05/03.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 3 Waheshimu wajane, wale walio wajane kweli kweli. \v 4 Lakini kama mjane ana watoto au wajukuu, waache kwanza wajifunze kuonesha heshima kwa watu wa nyumbani mwao wenyewe. Waache wawalipe wazazi wao mema, kwa kuwa hii inapendeza mbele za Mungu.