sw_1ti_text_ulb/01/05.txt

1 line
375 B
Plaintext

\v 5 Basi lengo la agizo hili ni upendo utokao katika moyo safi, katika dhamiri nzuri na katika imani ya kweli. \v 6 Baadhi ya watu wamelikosa lengo wakayaacha mafundisho haya na kugeukia mazungumzo ya kipumbavu. \v 7 Wanataka kuwa waalimu wa sheria, lakini hawafahamu wanachosema au wanachosisitiza. \v 8 lakini tunajua kwamba sheria ni njema kama mtu ataitumia kwa usahihi.