1 line
372 B
Plaintext
1 line
372 B
Plaintext
\v 18 Ninaliweka agizo hili mbele yako Timotheo, mtoto wangu. Nafanya hivi kulingana na unabii uliotolewa hapo kwanza kukuhusu wewe, ili kwamba uhusike katika vita vyema. \v 19 Fanya hivyo ili kwamba uwe na imani na dhamiri njema. Baadhi ya watu wameyakataa haya wakaangamiza imani. \v 20 Kama vile Himeneyo na Alekizanda, ambao nimempa shetani ili wafundishwe wasikufuru. |