sw_1th_text_ulb/01/04.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 4 Ndugu Mnaopendwa na Mungu, tunajua wito wenu. \v 5 Na jinsi injili yetu ilivyokuja kwenu si kwa neno tu, bali pia katika nguvu, katika Roho Mtakatifu, na katika uhakika. Kwa namna hiyo, mnajua pia sisi tulikuwa watu wa namna gani miongoni mwenu kwa ajili yenu.