sw_1sa_text_reg/23/01.txt

1 line
296 B
Plaintext

\c 23 \v 1 Wakamwambia Daudi, "Tazama, Wafilisti wanapigana vita juu ya Keila na wanapora nafaka inayopurwa sakafuni." \v 2 Hivyo Daudi akamwomba BWANA kwa ajili ya msaada, na akamuuliza," Je, niondoke niwapige hawa Wafilisti? BWANA akamwambia Daudi, "Nenda ukawapige Wafilisti na kuokoa Keila."