1 line
359 B
Plaintext
1 line
359 B
Plaintext
\v 16 Mfalme akamjibu, "Hakika utakufa, Ahimeleki, wewe na jamaa yote ya nyumba ya baba yako." \v 17 Mfalme akamwambia mlinzi aliyesimama karibu naye, "Geuka na uwauwe makuhani wa BWANA. Kwa sababu wanamuunga mkono Daudi, na sababu walijua kwamba alikimbia, lakini hawakunijulisha." Lakini watumishi wa mfalme hawakunyoosha mkono wao kuwaua makuhani wa BWANA. |