sw_1sa_text_reg/22/03.txt

1 line
511 B
Plaintext

\v 3 Kisha Daudi alitoka huko akaenda Mispa huko Moabu. Akamwambia mfalme wa Moabu, "Tafadhali waruhusu baba na mama yangu wakae kwako hadi hapo nitakapojua kitu gani ambacho Mungu atafanya kwa ajili yangu." \v 4 Basi akawaacha kwa Mfalme wa Moabu. Baba na mama yake wakakaa na mfalme kwa muda wote ambao Daudi alikuwa kwenye ngome yake. \v 5 Kisha nabii Gadi akamwambia Daudi, "Usikae tena katika ngome yako. Ondoka na uende katika nchi ya Yuda." Kwa hiyo Daudi akatoka hapo na akaenda katika msitu wa Harethi.