1 line
375 B
Plaintext
1 line
375 B
Plaintext
\v 22 Daudi aliviacha vitu vyake kwa mtunza mahitaji, akalikimbilia jeshi, na kuwasalimia kaka zake. \v 23 Alipoongea nao, yule mtu mwenye nguvu, Mfilisti wa Gathi, jina lake Goliathi, akajitokeza kutoka majeshi ya Wafilisti, naye akasema maneno yaleyale kama hapo mwanzo. Naye Daudi akayasikia. \v 24 Watu wote wa Israeli walipomwona Goliathi, walimkimbia na waliogopa sana. |