sw_1sa_text_reg/15/26.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 26 Samweli akamwambia Sauli, "Sitarudi pamoja na wewe; kwa sababu umekataa neno la BWANA, naye BWANA amekukataa usiwe mfalme juu ya Israeli." \v 27 Samweli alipogeuka kuondoka, Sauli akashika pindo la kanzu lake, na likararuka