\v 10 Baadae neno la BWANA likamjia Samweli, kusema, \v 11 "Inanihuzunisha kwamba nimemchagua Samweli awe mfalme, kwa maana aligeuka nyuma asinifuate na hakutekeleza maagizo yangu." Samweli alikasirika; akamlilia BWANA usiku kucha.