sw_1sa_text_reg/02/34.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 34 Hii ndiyo itakuwa ishara kwako ambayo itakayowajia watoto wako wakiume wawili, juu ya Hofni na Finehasi: Wote wawili watakufa siku moja. \v 35 Nami nitamwinua juu kuhani wangu mwaminifu atakaye fanya kile kilichomo moyoni mwangu na nafsini mwangu. Nami nitamjengea nyumba imara; naye atakwenda mbele ya mfalme wangu mbarikiwa milele.