sw_1sa_text_reg/17/14.txt

1 line
326 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 14 Daudi ndiye aliyekuwa mdogo kabisa. Hao wakubwa watatu walimfuata Sauli. \v 15 Basi Daudi alikwenda na kurudi akipita kati ya majeshi ya Sauli akiwa na kondoo za baba yake huko Bethelehemu, ili kuwachunga. \v 16 Kwa muda wa siku arobaini yule Mfilisti mwenye nguvu alikuwa akijitokeza asubuhi na jioni kwa ajili ya vita.