sw_1ki_text_reg/22/03.txt

1 line
395 B
Plaintext

\v 3 Mfalme wa Israeli alikuwa amewaambia watumishi wake, "Je, mnajua kuwa Ramothi Gileadi ni yetu, ila hatufanyi chochote kuitwaa kutoka kwenye mkono wa mfalme wa Shamu?" \v 4 Kwa hiyo akamwambia Yehoshafati, "Je, utakwenda na mimi katika vita huko Ramothi Gileadi?" Yehoshafati akamjibu mfalme wa Israeli, "Mimi ni kama wewe, watu wangu ni kama watu wako, na farasi wangu ni kama farasi wako."