sw_1ki_text_reg/16/01.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 1 Neno la BWANA lilimjia Yehu mwana wa Hanani kinyume cha Baasha, likisema, \v 2 Ingawa Nilikuinua kutoka kwenye mavumbi na kukufanya kuwa kiongozi wa watu wangu Israeli, Lakini umetembea katika njia za Yeroboamu na umewafanya watu wangu Israeli kufanya dhambi, ili kunikasirisha dhidi ya dhambi zao.