sw_1ki_text_reg/08/62.txt

1 line
272 B
Plaintext

\v 62 Kwa hiyo mfalme na watu wote pamoja naye wakatoa sadaka kwa BWANA. \v 63 Sulemani akatoa sadaka ya amani, ambayo aliifanya kwa BWANA: Nayo ilikuwa makisai elfu ishirini na mbili, na kondoo 120, 000. Kwa hiyo mfalme na watu wa Israeli wakaiweka wakfu nyumba ya BWANA.