sw_1ki_text_reg/08/44.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 44 Na kama watu wako wataenda vitani dhidi ya adui, kwa njia yeyote unayoweza kuwatuma, na kama watakuomba wewe, BWANA, kuelekea mji huu uliouchagua, na kuelekea nyumba ambayo nimeijenga kwa jina lako. \v 45 Basi sikia tokea mbinguni maombi yao, dua zao, na uwasaidie wanachohitaji.