sw_1ki_text_reg/02/19.txt

1 line
508 B
Plaintext

\v 19 Kwa hiyo Bathsheba akaenda kumwambia, mfalme Sulemani kwa niaba ya Adoniya. Mfalme akainuka kumlaki na akapiga magoti mbele yake. Kisha akakaa kwenye kiti chake cha enzi na kulikuwa na kiti kingine cha enzi kilicholetwa kwa ajili ya mama wa mfalme. Naye akakaa mkono wa kuume wa mfalme. \v 20 Ndipo alipomwambia, "Napenda kukuomba ombi moja dogo. Usinikalie." Mfalme, akamjibu, "Mama omba kwa kuwa sitakukatalia." \v 21 Naya akamwambia, "Naomba Abishagi Mshunami apewe Adoniya ndugu yako awe mke wake."