sw_1ki_text_reg/02/10.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 10 Ndipo Daudi alipolala na mababu zake na alizikwa kwenye mji wa Daudi. \v 11 Siku ambazo Daudi alitawala Israeli zilikuwa ni miaka arobaini. Alikuwa ametawala kwa miaka saba kule Hebroni na kwa miaka thelethini na tatu kule Yerusalemu. \v 12 Kisha Sulemani akaketi kwenye kiti cha enzi cha baba yake Daudi, na utawala wake ulikuwa imara.