sw_1ki_text_reg/02/05.txt

1 line
427 B
Plaintext

\v 5 Wewe pia wajua kile Yoabu mwana wa Seruya alichonifanyia, na kile alichowafanyia majemedari wa majeshi ya Israeli, kwa Abina mwana wa Neri, na kwa Amasa mwana wa Yetheri, ambaye alimwua. Alimwaga damu vitani wakati wa amani na kuiweka ile damu kwenye mshipi uliokuwa kiunoni mwake na kwenye vile viatu miguuni mwake. \v 6 Mshughulikie Yoabu kwa hekima ambayo umejifunza, lakini usiache mvi zake ziingie kaburini kwa amani.