Sun Sep 25 2022 18:11:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-25 18:11:33 +03:00
parent 2df4d9dc63
commit f7f99624a9
3 changed files with 3 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Wakati huo, Adonia mwana wa Hagithi alijiinua akisema, "Nitakuwa mfalme." Kwa hiyo akajiandalia magari na wapanda farasi hamsini ili wapige mbio mbele yake. \v 6 Baba yake alikuwa hajawahi kumsumbua kwa kusema, "kwa nini umefanya hili na lile?" Adonia alikuwa mwanamume mzuri sana aliyezaliwa baada ya Absalomu.
\v 5 Wakati huo, Adoniya mwana wa Hagithi alijiinua akisema, "Nitakuwa mfalme." Kwa hiyo akajiandalia magari na wapanda farasi hamsini ili wapige mbio mbele yake. \v 6 Baba yake alikuwa hajawahi kumsumbua kwa kusema, "kwa nini umefanya hili na lile?" Adonia alikuwa mwanamume mzuri sana aliyezaliwa baada ya Absalomu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya na Abiathari kuhani. Wakamfuata Adonia wakamsaidia. \v 8 Lakini Sadoki kuhani, Benaya mwana wa Yehoyada, nabii Nathani, Shimei, Rei, na watu mashujaa wa Daudi hawakumfuata Adonia.
\v 7 Akashauriana na Yoabu mwana wa Seruya na Abiathari kuhani. Wakamfuata Adonia wakamsaidia. \v 8 Lakini Sadoki kuhani, Benaya mwana wa Yehoyada, nabii Nathani, Shimei, Rei, na watu mashujaa wa Daudi hawakumfuata Adoniya.

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Adonia akataoa dhabihu za Kondoo, na ndama walionona kwenye jiwe la Sohelethi, ambalo liko karibu na Eni Rogeli. Akawakaribisha ndugu zake wote, watoto wa mfalme, wanaume wote wa Yuda, na watumishi wa mfalme. \v 10 Lakini hakumkaribisha nabii Nathan, Benaya, wanaume mashujaa, au ndugu yake Sulemani.
\v 9 Adoniya akataoa dhabihu za Kondoo, na ndama walionona kwenye jiwe la Sohelethi, ambalo liko karibu na Eni Rogeli. Akawakaribisha ndugu zake wote, watoto wa mfalme, wanaume wote wa Yuda, na watumishi wa mfalme. \v 10 Lakini hakumkaribisha nabii Nathan, Benaya, wanaume mashujaa, au ndugu yake Sulemani.