Mon Jul 18 2022 23:26:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-18 23:26:25 +03:00
parent f99a661fca
commit b864a0c2b6
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Sulemani alisimama mbele ya madhabahu ya BWANA, mbela ya mkusanyiko wote wa Waisraeli, naye akanyosha mikono yake kuelekea mbinguni. \v 23 Akasema, "BWANA, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe juu mbinguni au chini duniani, ambaye hutunza agano lake kwa uaminifu kwa watumishi wako ambao hutembea mbele yako kwa mioyo yao yote; \v 24 wewe ambaye umetunza ahadi yako na mtumishi wako Daudi baba yangu ile uliyomwahidi. Naam, ulisema kwa kinywa chako na sasa umeitimiza kwa mkono wako, kama ilivyo leo.
\v 22 Sulemani alisimama mbele ya madhabahu ya BWANA, mbele ya mkusanyiko wote wa Waisraeli, naye akanyosha mikono yake kuelekea mbinguni. \v 23 Akasema, "BWANA, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe juu mbinguni au chini duniani, ambaye hutunza agano lake kwa uaminifu kwa watumishi wako ambao hutembea mbele yako kwa mioyo yao yote; \v 24 wewe ambaye umetunza ahadi yako na mtumishi wako Daudi baba yangu ile uliyomwahidi. Naam, ulisema kwa kinywa chako na sasa umeitimiza kwa mkono wako, kama ilivyo leo.

View File

@ -168,6 +168,8 @@
"08-12",
"08-14",
"08-17",
"08-20"
"08-20",
"08-22",
"08-25"
]
}