Thu Jul 28 2022 06:42:27 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-28 06:42:27 +03:00
parent 1c912d369d
commit b4d9821ac8
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Katika mwaka wa thelathiini na nane wa Asa mfalme wa Yuda, Ahabu mwana wa Omri akaanza kutawala juu ya Israeli. Ahabu mwana wa Omri akatawala Israeli kule Samaria kwa miaka ishirini na mbili. \v 30 Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo maovu mbele ya BWANA, zaidi ya wote waliokuwa kabla yake.
\v 29 Katika mwaka wa thelathini na nane wa Asa mfalme wa Yuda, Ahabu mwana wa Omri akaanza kutawala juu ya Israeli. Ahabu mwana wa Omri akatawala Israeli kule Samaria kwa miaka ishirini na mbili. \v 30 Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo maovu mbele ya BWANA, zaidi ya wote waliokuwa kabla yake.