Sun Sep 25 2022 16:36:25 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
0ad3979422
commit
a3c52b3a39
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 10 Kwa hiyo Hiramu akampa Sulemani miti yote ya mierezi na miti ya miberoshi ambayo alihitaji. \v 11 Sulemani akampa Hiramu kori ishirini elfu za ngano kwa ajili ya chakula cha watumishi wake na kori ishirini za mafuta safi. Sulemani akavitoa hivi kwa Hiramu mwaka baad ya mwaka. \v 12 BWANA akampa Sulemani hekima, kama alivyokuwa amemwahidi. Kulikuwa na amani kati ya Hiramu na Sulemani na wote wawili wakafanya agano.
|
||||
\v 10 Kwa hiyo Hiramu akampa Sulemani miti yote ya mierezi na miti ya miberoshi ambayo alihitaji. \v 11 Sulemani akampa Hiramu kori ishirini elfu za ngano kwa ajili ya chakula cha watumishi wake na kori ishirini za mafuta safi. Sulemani akavitoa hivi kwa Hiramu mwaka baada ya mwaka. \v 12 BWANA akampa Sulemani hekima, kama alivyokuwa amemwahidi. Kulikuwa na amani kati ya Hiramu na Sulemani na wote wawili wakafanya agano.
|
Loading…
Reference in New Issue