Tue Oct 18 2022 07:17:08 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-18 07:17:09 +03:00
parent e52df8d9fd
commit 8cf9a8792f
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 54 Kwa hiyo ilitokea wakati Sulemaeni alipomaliza kuomba maombi haya na dua zake kwa BWANA, aliamka toka madhabahu ya BWANA, pale alipokuwa amepiga magoti na mikono yake ikiwa imenyoshwa kuelekea mbinguni. \v 55 Alisimama na kuubariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, alisema, \v 56 "Asifiwe BWANA, aliyewapatia pumziko watu hawa Israeli, akitunza ahadi zake zote. Hakuna hata moja ambayo haijatekelezwa katika ahadi njema za BWANA ambazo aliahidi akiwa na Musa mtumishi wake.
\v 54 Kwa hiyo ilitokea wakati Sulemani alipomaliza kuomba maombi haya na dua zake kwa BWANA, aliamka toka madhabahu ya BWANA, pale alipokuwa amepiga magoti na mikono yake ikiwa imenyoshwa kuelekea mbinguni. \v 55 Alisimama na kuubariki mkutano wote wa Israeli kwa sauti kuu, alisema, \v 56 "Asifiwe BWANA, aliyewapatia pumziko watu hawa Israeli, akitunza ahadi zake zote. Hakuna hata moja ambayo haijatekelezwa katika ahadi njema za BWANA ambazo aliahidi akiwa na Musa mtumishi wake.