Fri Jul 15 2022 22:22:46 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-15 22:22:47 +03:00
parent d6215961a8
commit 672cbea386
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 29 Mungu alimpa Sulemani hekima kubwa, ufahamu, na upana wa uelewa kama mchanga wa baharini. \v 30 Hekima ya Sulemani ilizidi hekima ya watu wote wa mashariki na hekima yote ya Misri. \v 31 Alikuwa na hekima kuliko wanaume wote - kuliko Ethani Muezrahi, Hemani, Kaliko, na Darda, wana wa Maholi - na habari zake zikaenea hadi kwenye mataifa yote yaliyomzunguka.
\v 29 Mungu alimpa Sulemani hekima kubwa, ufahamu, na upana wa uelewa kama mchanga wa baharini. \v 30 Hekima ya Sulemani ilizidi hekima ya watu wote wa mashariki na hekima yote ya Misri. \v 31 Alikuwa na hekima kuliko wanaume wote , kuliko Ethani Muezrahi, Hemani, Kaliko, na Darda, wana wa Maholi na habari zake zikaenea hadi kwenye mataifa yote yaliyomzunguka.