Sat Sep 24 2022 23:26:43 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
56064e6d4a
commit
657c9d35dc
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 27 Ahabu aliposikia maneno haya, Akachana mavazi yake na akavaa magunia kwenye mwili wake na akafunga, na akalala kwenye magunia na akahuzunika sana. \v 28 Kisha neno la BWANA likamjia Eliya Mtishibi likisema, \v 29 "Je, unamwona jinsi Ahabu anavyojinyenyekeza mbele yangu? Kwa sababu anajinyeyenyekeza mwenyewe mbele yangu, Sitaleta lile janga katika siku zake; Ni katika siku za mwanae, nitakpolileta hilo janga katika familia yake."
|
||||
\v 27 Ahabu aliposikia maneno haya, Akachana mavazi yake na akavaa magunia kwenye mwili wake na akafunga, na akalala kwenye magunia na akahuzunika sana. \v 28 Kisha neno la BWANA likamjia Eliya Mtishibi likisema, \v 29 "Je, unamwona jinsi Ahabu anavyojinyenyekeza mbele yangu? Kwa sababu anajinyeyenyekeza mwenyewe mbele yangu, Sitaleta lile janga katika siku zake; Ni katika siku za mwanae, nitakapolileta hilo janga katika familia yake."
|
Loading…
Reference in New Issue