Thu Jul 14 2022 14:56:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-14 14:56:27 +03:00
parent dd156dc708
commit 62636d07bc
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 36 Kisha Mfalme akatuma watu kumwita Shimei, na akamwambia, "Kajijengee nyumba kwa ajili yako kule Yerusalemu na ushi huko, na usitoke nje ya Huo mji na kwenda mahali pengine. \v 37 Kwa kuwa siku utakayoenda mahali pengine, na kupita bonde la Kidroni, ujue kwa hakika kuwa utakufa. Damu yako itakuwa juu ya kichwa chako." \v 38 Kwa hiyo Shimei akamwambia mfalme, "Unachosema ni chema. Kama vike mfalme bwana wangu alivyosema, ndivyo ambavyo mtumishi wako atakavyofanya." Kwa hiyo Shimei akaishi Yerusalemu kwa miaka mingi.
\v 36 Kisha Mfalme akatuma watu kumwita Shimei, na akamwambia, "Kajijengee nyumba kwa ajili yako kule Yerusalemu na uishi huko, na usitoke nje ya Huo mji na kwenda mahali pengine. \v 37 Kwa kuwa siku utakayoenda mahali pengine, na kupita bonde la Kidroni, ujue kwa hakika kuwa utakufa. Damu yako itakuwa juu ya kichwa chako." \v 38 Kwa hiyo Shimei akamwambia mfalme, "Unachosema ni chema. Kama vike mfalme bwana wangu alivyosema, ndivyo ambavyo mtumishi wako atakavyofanya." Kwa hiyo Shimei akaishi Yerusalemu kwa miaka mingi.