Tue Oct 18 2022 07:09:08 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-18 07:09:09 +03:00
parent 8544307b5f
commit 5c2409ac57
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Majengo haya yalipambwa kwa vitu vya thamaini, mawe ya thamani, yaliyochongwa na kukatwa kwa msimeno kufuata vipimo sahihi na kulainishwa pande zote. Mawe ya namna hii ndiyo yale yaliyotumika kuanzia kwenye msingi hadi juu, pia na nje hadi kwenye baraza. \v 10 Msingi ulijengwa kwa mawe makubwa sana na ya thamani yenye urefu wa mita 3.7 na mengine mita 4.8.
\v 9 Majengo haya yalipambwa kwa vitu vya thamani, mawe ya thamani, yaliyochongwa na kukatwa kwa msimeno kufuata vipimo sahihi na kulainishwa pande zote. Mawe ya namna hii ndiyo yale yaliyotumika kuanzia kwenye msingi hadi juu, pia na nje hadi kwenye baraza. \v 10 Msingi ulijengwa kwa mawe makubwa sana na ya thamani yenye urefu wa mita 3.7 na mengine mita 4.8.

View File

@ -140,6 +140,7 @@
"07-06",
"07-07",
"07-08",
"07-09",
"07-11",
"07-13",
"07-15",