Mon Sep 26 2022 15:36:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-26 15:36:15 +03:00
parent 5a49dab1c9
commit 34bb31814a
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Lakini kama utageuka, wewe au watoto wako, na kutozishika amri zangu na maagizo yangu ambayo nimeyaweka mbele zako, na kama utaenda kuabudu miungu mingine na kuisujidia, \v 7 basi nitaikatilia mbali Israeli kutoka katika ardhi niliyowapa; na nyumba hii niliyoitakasa kwa jina langu, nitaitupilia mbali na macho yangu, na Israeli itakuwa mfano wa kukejeliwa na kitu cha kutusiwa katika mataifa yote.
\v 6 Lakini kama utageuka, wewe au watoto wako, na kutozishika amri zangu na maagizo yangu ambayo nimeyaweka mbele zako, na kama utaenda kuabudu miungu mingine na kuisujudia, \v 7 basi nitaikatilia mbali Israeli kutoka katika ardhi niliyowapa; na nyumba hii niliyoitakasa kwa jina langu, nitaitupilia mbali na macho yangu, na Israeli itakuwa mfano wa kukejeliwa na kitu cha kutusiwa katika mataifa yote.

View File

@ -194,6 +194,7 @@
"09-title",
"09-01",
"09-03",
"09-04",
"09-06",
"09-08",
"09-10",