Mon Jul 18 2022 23:08:24 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-18 23:08:25 +03:00
parent c4870c9006
commit 318039003e
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Makuhani wakalingiza ndani lile sanduku la agano la BWANA na wakaliweka mahali pake, ndani ya chumba cha ndani, patakatifu sana, chini ya yale mabawa ya makerubi. \v 7 Kwa kuwa makerubi walitandaza mabawa yao hadi mahali pa sanduku la agano, na walifunika sanduku na miti yake kwani ilitumika kulibeba. \v 8 Ile miti ilikuwa mirefu sana kiasi kwamba miishio yake ilionekana tokea kwenye eneo takatifu mbele ya chumba cha ndani, lakini haikuweza kuonekana kutokea nje. Miti hiyo iko mpaka leo.
\v 6 Makuhani wakaliingiza ndani lile sanduku la agano la BWANA na wakaliweka mahali pake, ndani ya chumba cha ndani, patakatifu sana, chini ya yale mabawa ya makerubi. \v 7 Kwa kuwa makerubi walitandaza mabawa yao hadi mahali pa sanduku la agano, na walifunika sanduku na miti yake kwani ilitumika kulibeba. \v 8 Ile miti ilikuwa mirefu sana kiasi kwamba miishio yake ilionekana tokea kwenye eneo takatifu mbele ya chumba cha ndani, lakini haikuweza kuonekana kutokea nje. Miti hiyo iko mpaka leo.

View File

@ -162,6 +162,7 @@
"07-51",
"08-title",
"08-01",
"08-03"
"08-03",
"08-06"
]
}