diff --git a/08/41.txt b/08/41.txt index a9788e1..e1da9fe 100644 --- a/08/41.txt +++ b/08/41.txt @@ -1 +1 @@ -\v 41 Na nyongeza yake, kuhusiana na mgeni ambaye si mtu wako wa Israeli: atakapokuja kutokea nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako - \v 42 kwa sababu watasikia jina lako lilivyo kuu, mkono wako wenye nguvu, na mkono wako ulioinuliwa - atakapokuja na kuomba mahali hapa pa hekalu, \v 43 tafadhali usikie kutokea katika mbingu, mahali unapoishi, na umfanyie huyo mgeni akuombacho. Fanya hivi ili makundi ya wtu wote duniani wakujue jina lako na kukuhofia, kama wanavyofanya watu Israeli. Fanya hivyo ili wajue kwamba nyumba hii niliyoijenga inaitwa kwa jina lako. \ No newline at end of file +\v 41 Na nyongeza yake, kuhusiana na mgeni ambaye si mtu wako wa Israeli: atakapokuja kutokea nchi ya mbali kwa sababu ya jina lako - \v 42 kwa sababu watasikia jina lako lilivyo kuu, mkono wako wenye nguvu, na mkono wako ulioinuliwa , atakapokuja na kuomba mahali hapa pa hekalu, \v 43 tafadhali usikie kutokea katika mbingu, mahali unapoishi, na umfanyie huyo mgeni akuombacho. Fanya hivi ili makundi ya watu wote duniani wakujue jina lako na kukuhofia, kama wanavyofanya watu Israeli. Fanya hivyo ili wajue kwamba nyumba hii niliyoijenga inaitwa kwa jina lako. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 212899b..98312e3 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -177,6 +177,7 @@ "08-33", "08-35", "08-37", - "08-39" + "08-39", + "08-41" ] } \ No newline at end of file