Fri Jul 01 2022 09:09:42 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-01 09:09:43 +03:00
parent 3e6d93e73f
commit e45124db08
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Wapendwa, ikiwa Mungu alitupenda sisi, vile vile tunapaswa kupendana sisi kwa sisi. \v 12 Hakuna hata mmoja aliyemuona Mungu. Kama tukipendana sisi kwa sisi, Mungu anakaa ndani yetu na pendo lake limekamilika ndani yetu. \v 13 Katika hili tunajua kuwa tunakaa ndani yake na yeye ndani yetu, kwa sababu ametupa Roho wake. \v 14 Na tumeona na kushuhudia kuwa Baba amemtuma Mwana kuwa mwokozi wa ulimwengu.
\v 11 Wapendwa, ikiwa Mungu alitupenda sisi, vile vile tunapaswa kupendana sisi kwa sisi. \v 12 Hakuna hata mmoja aliyemuona Mungu. Kama tukipendana sisi kwa sisi, Mungu anakaa ndani yetu na upendo wake umekamilika ndani yetu. \v 13 Katika hili tunajua kuwa tunakaa ndani yake na yeye ndani yetu, kwa sababu ametupa Roho wake. \v 14 Tena, sisi tumeonana na kushuhudia kuwa Baba amemtuma Mwana kuwa mwokozi wa ulimwengu.

View File

@ -70,6 +70,7 @@
"04-04",
"04-07",
"04-09",
"04-11",
"05-title"
]
}